Saturday, May 6, 2017

AJALI MBAYA YAUA WANAFINZI WA SHULE YA LAKE

Basi aina ya Coaster limeua watoto wa shule(Idadi rasmi haijafahamika) waliokuwa wanaelekea mjini Karatu kwa ziara ya kimasomo.
-Taarifa zinasema shule inaitwa lake school iliyopo jijini Arusha na basi lilikuwa limebeba wanafunzi 58.

0 comments:

Post a Comment