Wednesday, May 10, 2017

Profesa J amwaga cheche kuhusu Roma na Ney wa Mitego



Hii ni wakati Mbunge wa Mikumi Joseph Haule maarufu kama Professor Jay aliposimama kuchangia mapendekezo yake katika bajeti ya Wizara ya Habari, utamaduni, sanaa na michezo kwenye bunge la Bajeti linaloendelea.



0 comments:

Post a Comment