YOUR WELCOME By ADMIN JERRY KIHUNDO

Let me take this golden chance to welcome everyone around the World,remember that your opinions are very important to us - tanzaniabeautiful.blogspot.com.

Sunday, May 28, 2017

Mgodi wa ACACIA huwenda ukafungwa

May 27, 2017 | The Telegraph Mgodi wa Bulyanhulu huenda ukafungwa kufuatia mfululizo wa hasara baada ya Serikali kusitisha usafirishwaji wa mchanga kwenda nje. Zuio usafirishaji wa mchanga wa madini kwenda nje ya nchi, lilipelekea bei ya hisa za Kampuni ya ACACIA kutetereka kwenye Soko la Hisa la Uingereza (LSE) na Dar es Salaam (DSE).  ​ ======= Acacia Mining is preparing to close a loss-making mine after a row over exports with the Tanzanian government escalated. Shares...

Wednesday, May 10, 2017

Profesa J amwaga cheche kuhusu Roma na Ney wa Mitego

Facebook TWEET Hii ni wakati Mbunge wa Mikumi Joseph Haule maarufu kama Professor Jay aliposimama kuchangia mapendekezo yake katika bajeti ya Wizara ya Habari, utamaduni, sanaa na michezo kwenye bunge la Bajeti linaloendelea. ...

Monday, May 8, 2017

contact us

Tanzania Beauty Tanzania P. O. BOX Dar es Salaam +255 Tanzania 0657-573-675 022-2220 http://www.tanzaniabeautiful.blogspot.com/ Google location Wasiliana Nasi Direct Email us facebook Your name * Your Email *   Heading of your message to us Does our service satisfy your needs Yes No If yes, please...

Saturday, May 6, 2017

FAIDA YA TANGAWIZI HII HAPA!!!

FAIDA 48 ZA JUISI YA TANGAWIZI AMBAZO ULIKUWA HUZIJUWI. (C & P) 1. Huondoa sumu mwilini haraka sana2. Huua bakteria wa aina nyingi mwilini hata salmonella ndani ya mwili hata juu ya ngozi3. Kuna viua vijasumu (antibiotics) vya asili viwili kwenye tangawizi4. Huondoa uvimbe mwilini5. Huondoa msongamano mapafuni6. Tangawizi inayo ‘zingibain’ ambayo huua vimelea mbalimbali vya magonjwa na mayai yake7. Huondoa maumivu ya koo8. Huua virusi wa homa9. Huondoa maumivu mbalimbali mwilini10. Huondoa...

Waziri mkuu wa zamani wa taifa la Israel atembelea Serengeti na Ngorongoro

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani akisalimiana na Waziri Mkuu wa zamani wa taifa la Israel,Ehud Barak Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani akisalimiana na Waziri Mkuu wa zamani wa taifa la Israel,Ehud Barak walipokutana katika eneo la Olduvai Gorge katika Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro akiwa njiani kuelekea katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti (katikati) ni Meneja Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa(TANAPA) Pascal Shelutete. Waziri...

AJALI MBAYA YAUA WANAFINZI WA SHULE YA LAKE

Basi aina ya Coaster limeua watoto wa shule(Idadi rasmi haijafahamika) waliokuwa wanaelekea mjini Karatu kwa ziara ya kimasomo. -Taarifa zinasema shule inaitwa lake school iliyopo jijini Arusha na basi lilikuwa limebeba wanafunzi 58. ...

Page 1 of 2912345Next