YOUR WELCOME By ADMIN JERRY KIHUNDO

Let me take this golden chance to welcome everyone around the World,remember that your opinions are very important to us - tanzaniabeautiful.blogspot.com.

Wednesday, June 14, 2017

Serikali yatoa kibali cha ajira kuziba nafasi zilizoachwa na waliokutwa na vyeti feki

Waziri Angela Kairuki amesema kwamba serikali itaanza kuajiri watumishi wa serikali kwa kada mbalimbalk hususani katika sekta ya Afya na Elimu kutokana na upungufu wa asilimia 70% waliokumbwa na sakata la vyeti vyeki. Pia ameongeza kwa kusema mishahara itapanda kutokana na agizo la Rais Pombe Magufuli na kwamba mishahara itapanda kutokana na ukuaji wa uchumi na mfumuko wa bei pamoja na kima cha chini cha mshahara kupanda kwa asilimia mia mbili 200% na kwamba mshahara umetoka kuanzia 100,000/= mpaka kima cha chini kuwa 300,000/= Akijibu swali la Mbunge Lucy Mollel kwamba mafunzo kwa watumishi...

Saturday, June 10, 2017

How to write successful Curriculum Vitae (CV)

What is a CV? Curriculum Vitae: an outline of a person’s educational and professional history, usually prepared for job applications A CV is the most flexible and convenient way to make applications. It conveys your personal details in the way that presents you in the best possible light. A CV is a marketing document in which you are marketing something: yourself! You need to “sell” your skills, abilities, qualifications and experience to employers. It can be used to make...

NAFASI 19 ZA AJIRA/KAZI KUTOKA ICAP TANZANIA

VACANCIES ICAP at Columbia University is a Non-Governmental Organization affiliated with Columbia University Mailman School of Public Health (MSPH) registered in Tanzania as MSPH Tanzania LLC since February 2005 (SO No. 12987). ICAP has been receiving funds to support HIV prevention and treatment programs in Tanzania from US President's Emergency Plan for AIDS Relief (PEPFAR) through the U.S. Centers for Disease Control and Prevention (CDC) since 2005. In collaboration with the Ministry of...

Friday, June 9, 2017

Urembo wa nywele kwa wadada pitia Hapa ujifunze kwa picha

Tanzania Beauty inakuletea mitindo mbalimbali ya nywele kwa wakina dada,pitia hapa kisha tuambie upi umekubamba   ​ ...

Thursday, June 8, 2017

Hii ndio bajeti iliyosomwa leo Bungeti pitia updates zote

Waziri wa fedha Dr Mpango anakaribishwa kwa ajili ya kusoma bajeti. =>Bajeti hii inawasilishwa kwa kufuata ibara ya 71 ya JMT. Pamoja na kusoma nakabidhi vitabu vinne. =>Naomba nitumie fursa hii kumshukuru mh rais Dr John Pombe Magufuli kwa kuendelea kuniamini =>Nawapongeza Mh Makamu wa rais mama Samia Suluhu, waziri mkuu, wewe mwenyewe na Naibu spika =>Bajeti imezingatai mawazo na mapendekezo ya wadau mbalimbali. =>Rais Magufuli aliwaeleza vipaumbele kwa serikali; 1.Kukuza...

Page 1 of 2912345Next