YOUR WELCOME By ADMIN JERRY KIHUNDO

Let me take this golden chance to welcome everyone around the World,remember that your opinions are very important to us - tanzaniabeautiful.blogspot.com.

Monday, July 3, 2017

Kibiti:polisi yawaua watu wanao dhaniwa ni watuhumiwa wa mauaji

Jeshi la Polisi nchini limefanikiwa kuwaua wahalifu wanne wanaosadikiwa kuwa miongoni mwa wahalifu wanaoendesha mauaji katika wilaya za Mkuranga, Kibiti na Rufiji katika mapambano yaliyodumu kwa zaidi ya nusu saa katika kijiji cha Pagae wilayani Kibiti mkoani Pwani. Akielezea tukio hilo Mkuu wa Oparesheni Maalumu za Jeshi la Polisi, Naibu Kamishna wa Polisi Liberatus Sabas alisema tukio hilo lilitokea siku ya Alhamisi juni 29 majira ya saa tatu usiku kwenye barabara ya vumbi itokayo Pagae kuelekea Nyambunda ambapo Askari Polisi wakiwa doria walikutana na kikundi cha watu kinachokadiriwa kuwa...

Watuhumiwa wa ESCROW wapandishwa kizimbani Mapema leo

Mfanyabiashara Harbinder Singh Sethi na James Rugemalira wamepandishwa kizimbani kwa mara nyingine katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka 12, badala ya mashtaka sita waliyosomewa awali.Miongoni mwa mashtaka hayo 12 ya uhujumu uchumi yamo mashtaka matano ya kutakatisha fedha na kuisababisha hasara ya USD 22, 198, 544.60 na Sh 309,461,300,158. 27.Akiwasomea hati mpya ya mashtaka, Wakili wa Serikali Mwandamizi, Shedrack Kimaro kwa Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi alidai wanakabiliwa na mashtaka ya kula njama, kujihusisha mtandao wa uhalifu, kighushi, kutoa nyaraka...

Seven facts you didn't know about Tanzania

Tanzania is a country of colour and contrast. Home to Africa’s highest mountain, and bordered to the east by the clear, sparkling waters of the Indian Ocean, it is a true jewel of East Africa. In the first of our showcase series, we’ve put the spotlight on one of fastjet’s favourite countries to discover lesser known facts about beautiful Tanzania. 1. A bounty of National Parks Tanzania is an East African country known for its vast wilderness areas. They include the plains of Serengeti...

Page 1 of 2912345Next