YOUR WELCOME By ADMIN JERRY KIHUNDO

Let me take this golden chance to welcome everyone around the World,remember that your opinions are very important to us - tanzaniabeautiful.blogspot.com.

Saturday, October 26, 2024

Tanzania Yafungua Milango ya Biashara kwa watu wake

 Soma zaidi H...

Friday, October 4, 2024

 welcome ag...

Saturday, April 30, 2022

Latra yatangaza bei Mpya za Mabasi 2022

 Mamlaka ya udhibiti wa usafiri nchi kavu (LATRA) imetangaza bei mpya za nauli za mabasi na daladala nchini ambazo zitaanza kutumika baada ya siku 14 kuanzia leo.Mkurugenzi Mkuu wa LATRA Gilliard Ngewe amesema nauli za daladala kuanzia KM 0-10 nauli itakuwa Tsh. 500 kutoka Tsh. 400 na  KM 11-15 nauli itakuwa Tsh. 550 kutoka Tsh. 450 na bei ya mwisho ya daladala kwa KM 36 hadi 40 itakuwa Tsh. 1100 kwa daladala tu.Kwa upande wa nauli za mabasi yaendayo mikoani zimepanda kwa daraja la kawaida...

Friday, April 29, 2022

The Royal Tour Tanzania: Exclusive Peek Behind the Scenes in the Epic Adventure

 Tanzania Beauty Peter Greenberg’s occasional PBS series, “The Royal Tour,” features heads of state acting as Greenberg’s tour guides to their countries.The shows include well-known tourist highlights but also connect the leaders’ personal stories to that of their nations, providing a more intimate view of the destination.In the past, kings, presidents and prime ministers have acted as Greenberg’s co-hosts, but he’s never had a leader-guide quite like Samia Suluhu Hassan, the president of Tanzania...

Sunday, August 12, 2018

Interview with Ineke Bussemaker, MD and CEO of NMB Bank

REPOST:MARCH 13, 2017  TanzaniaInvest had the pleasure of interviewing Ineke Bussemaker, MD and CEO of the National Microfinance Bank (NMB), Tanzania. NMB is one of the biggest commercial banks in Tanzania, 32% of which is owned by the government.  Bussemaker talks about the current lack of liquidity in the banking sector, the country’s investment potential and economic outlook.  TanzaniaInvest (TI):Tanzania is among the top African destinations for FDI. What is your view...

Wednesday, February 7, 2018

Aliye Muua Bob Marley huyu hapa!!!!!

Jasusi wa shirika la kijasusi la Marekeni, Bill Oxley, ndiye binadamu pekee hadi sasa aliyekiri kuhusika moja kwa moja na kifo cha marehemu Bob Marley. Akiwa katika kitanda cha hospitali ya Mercy huko Miami, Bill Oxley alitoa siri ya muda mrefu kuwa yeye ndiye aliyempa Bob Marley viatu aina ya raba ambavyo ndani yake viliwekwa sindano ndogo sana yenye ncha kali iliyokuwa na vimelea vya ugonjwa wa kansa. Katika maelezo yake, Bill Oxley anasema alifanya hivyo ikiwa ni mpango wa Marekani kuwaua wanamapinduzi...

Makosa yanayo fanywa kwenye Fedha

💰MONEY MISTAKE 1 Usikope pesa ya riba ili uanzishe biashara. Usitegemee pesa ya mkopo kuianzishia biashara, upate faida kisha uirudishe pesa ya mkopo na riba yake.  💰MONEY MISTAKE 2 Usitumie pesa ambayo bado haipo mikononi mwako. Wala usije ukamuahidi mtu kumpa pesa ambayo  umeahidiwa mahali fulani. Kama kuna mtu kakwambia, Flan njoo kesho nikulipe deni lako" Basi wewe usiende kukopa vitu kadhaa dukani au hata kumuahidi mtu mwingine kumpa pesa ambayo na wewe umeahidiwa.  Ni kosa....

Page 1 of 2912345Next