Tanzania imekuwa ni moja kati ya nchi Duniani iliyojawa na vipaji vingi sana.hili linathibitishwa na kijana toka mbeya aitwaye adam mkazi wa tunduma anaye jishughulisha na ufundi gereji kukoooo....Tunduma.
kalakana ilipo tengenezwa
helikopta ikiwa angani
Pia ikumbukwe kuwa si huyu tu aliye weza kutengeneza helicopter yupo kijana mwingine kutokea Arusha aliye pata msaada na helicopter unayoiyona hichani.
FUNZO
Kila mwanadamu Mungu kampa kipaji chake use your Talent effectively because everything is possible under the sun.by jerry kihundo @brogger
0 comments:
Post a Comment