Sunday, July 31, 2016

WANAFUNZI WACHUO CHA MUHIMBILI WAZUIWA KUFANYA MAHAFALI

Mh. Edward Lowassa akiwa chuo kikuu cha Sayansi Muhimbili
Uongozi wa Chuo Kikuu cha Sayansi ya
Tiba Muhimbili (MUHAS) kimezuia
mahafali ya wanafunzi wa madhehebu
Kikristo chuoni hapo, Tanzania
Fellowship of Evangelical Students
(TAFES) kwa sababu zinazohusishwa na mwaliko wa Edward Lowassa kama
mgeni rasmi kwny mahafali hayo. Awali
wanafunzi hao kupitia umoja wa tawi lao
hapo chuoni MUFES walimwalika
Mhe.Lowassa kuwa mgeni rasmi na
uongozi wa chuo uliridhia mahafali hayo kufanyika chuoni hapo. Lakini ghafla leo
wakati maandalizi yote yamekamilika,
uongozi wa chuo ulipiga marufuku
mahafali hayo na wanafunzi hao
waliamriwa kuondoka chuoni hapo.
Taatifa iliyotolewa iliwataka kutafuta ukumbi mwingine nje ya chuo hicho ili
kuendelea na mahafali yao. Hali hiyo
ilipelekea kuahirishwa kwa mahafali hayo

hadi wakati mwingine.! More>> www.tanzaniabeautful.blogspot.com or   FACEBOOK>>>>>https://web.facebook.com/Tanzania-Beauty-1621642768085830/?ref=aymt_homepage_panel Contact with us though>>>> tanzaniabeauty@gmail.com

0 comments:

Post a Comment