Thursday, July 28, 2016

RALEIGH TANZANIA WATINGA MBEYA

RALEIGH TANZANIA WATINGA MBEYA

Raleigh Tanzania watatakuja Mbeya katika ukumbi wa Grand Palm Hotel ambayo ipo Chuo cha Mzumbe kwaajili ya Usahili wa vijana wenye nia ya kujitoea katika miradi ya shirika lao itakayoanza September- December mwaka huu. Kwa wale wote ambao wangependa kujitolea na WAPO MKOA WA MBEYA katika tarehe hizo mnakaribishwa sana. Kwa maelezo zaidi wasiliana na namba 0785 574 792 (KUWASILIANA NI KUANZIA SAA 3 ASUBUHI HADI SAA 10 JIONI PEKEE) Mwambie rafiki, awaambie marafiki wawaambie wote kuwa Raleigh Tanzania wanakuja Mbeya.

1 comments:

Thank you Tanzania beauty for giving us details from Tanzania

Post a Comment