YOUR WELCOME By ADMIN JERRY KIHUNDO

Let me take this golden chance to welcome everyone around the World,remember that your opinions are very important to us - tanzaniabeautiful.blogspot.com.

Tuesday, January 31, 2017

MATOKEO KIDATO CHA NNE

MATOKEO KIDATO CHA 4Baraza la Mitihani nchini(NECTA) latangaza matokeo ya kidato cha nne kwa mwaka 2016. Wavulana wafaulu kwa 73.26% na Wasichana 67%.- Feza, St. Francis na Kaizerege zaendelea kutamba kileleni, Dar yaburuza mkia.Wanafunzi 277,283 (asilimia 70.09) waliofanya mtihani 2016 wafaulu. ​ Shule za Dar zaongoza washika mkia matokeo ya kidato cha Nne. ​ Matokeo yote yapo hapa >> http://41.188.136.77:8080/matokeo/2016/csee/index.h...

Dar yashika mkia matokeo ya kidato cha nne

Shule za Dar zashika mkia matokeo ya kidato cha nne Katika shule 10 za mwisho kitaifa Dar es Salaam imeingiza shule sita ambazo ni Kitonga, Nyeburu, Mbopo, Mbondole, Somangila Day na Kidete. Shule nyingine ni Masaki iliyoko mkoani Pwani, Dahani iliyoko mkoani Kilimanjaro, Ruponda mkoani Lindi na Makiba mkoani Arusha. Katika shule 10 za mwisho kitaifa Dar es Salaam imeingiza shule sita ambazo ni Kitonga, Nyeburu, Mbopo, Mbondole, Somangila Day na Kidete. Shule nyingine ni Masaki iliyoko mkoani...

Tuesday, January 24, 2017

Laac yakataa taarifa ya mradi Dodoma

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge Hesabu za serikali za mitaa(Laac), Vedasto Ngombale amesema kilichobainika kwenye mradi huo umetekelezwa kinyume na mkataba unavyoainisha kutokana na wananchi kutotekeleza majukumu yao yaliyoanishwa kwenye mkataba. ...

Tuesday, January 10, 2017

Maalim Seif amtibua nyongo Dk. Shein

Hayo ameyasema Dr Shein akidai kuwa kuna viongozi wanao tembea mitaani nakudai kuwa wao hawamtambui shein kama raisi na wanadai kuwa ushindi wake si wa halal...

Tuesday, January 3, 2017

Tanzania Beauty

The Beautiful of Tanzania ...

Page 1 of 2912345Next