Tuesday, January 31, 2017

Dar yashika mkia matokeo ya kidato cha nne

Shule za Dar zashika mkia matokeo ya kidato cha nne
Katika shule 10 za mwisho kitaifa Dar es Salaam imeingiza shule sita ambazo ni Kitonga, Nyeburu, Mbopo, Mbondole, Somangila Day na Kidete. Shule nyingine ni Masaki iliyoko mkoani Pwani, Dahani iliyoko mkoani Kilimanjaro, Ruponda mkoani Lindi na Makiba mkoani Arusha.
  • Katika shule 10 za mwisho kitaifa Dar es Salaam imeingiza shule sita ambazo ni Kitonga, Nyeburu, Mbopo, Mbondole, Somangila Day na Kidete. Shule nyingine ni Masaki iliyoko mkoani Pwani, Dahani iliyoko mkoani Kilimanjaro, Ruponda mkoani Lindi na Makiba mkoani Arusha.

0 comments:

Post a Comment