Tuesday, January 31, 2017

MATOKEO KIDATO CHA NNE

MATOKEO KIDATO CHA 4

Baraza la Mitihani nchini(NECTA) latangaza matokeo ya kidato cha nne kwa mwaka 2016. Wavulana wafaulu kwa 73.26% na Wasichana 67%.

- Feza, St. Francis na Kaizerege zaendelea kutamba kileleni, Dar yaburuza mkia.

Wanafunzi 277,283 (asilimia 70.09) waliofanya mtihani 2016 wafaulu.


7263769a-6c94-4751-8803-b0ea306abf17.jpg
Shule za Dar zaongoza washika mkia matokeo ya kidato cha Nne.
692f61dc-1bad-422f-b8cf-ef69706a7b01.jpg

Matokeo yote yapo hapa >> http://41.188.136.77:8080/matokeo/2016/csee/index.htm

0 comments:

Post a Comment