YOUR WELCOME By ADMIN JERRY KIHUNDO

Let me take this golden chance to welcome everyone around the World,remember that your opinions are very important to us - tanzaniabeautiful.blogspot.com.

Thursday, October 13, 2016

TANZIA: Aliyewahi kuwa Meya wa Dar, Dr. Didas Massaburi afariki, Rais atuma Salamu za rambirambi

Aliyewahi kuwa Meya wa Dar na Mbunge wa Afrika Mashariki, ndg Didas Masaburi amefariki dunia usiku huu hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa amelazwa.  UPDATE:Rais Magufuli atuma Salamu za Rambirambi familia ya Meya Mstaafu wa Jiji la Dar es Salaam Marehemu Didas Masabur...

Monday, October 10, 2016

TANZANIA KUJENGWA KIWANDA CHA KUTENGENEZA MAGARI

Gari la kwanza Tanzania kutengenezwa Desemba, 2016 Kampuni ya Simba Motors imesema ina mpango wa kujenga kiwanda cha kuunganisha magari aina ya pick-up ambacho kitaanza kuzalisha magari kabla ya Desemba 30, mwaka huu. Gari la kwanza Tanzania kutengenezwa Desemba, 2016 MONDAY , 10TH OCT , 2016 Kampuni ya Simba Motors imesema ina mpango wa kujenga kiwanda cha kuunganisha magari aina ya pick-up ambacho kitaanza kuzalisha magari kabla ya Desemba 30, mwaka huu. ...

CUF WAIBUKA KIDEDEA MAHAKAMA KUU

Mahakama kuu Ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Leo tarehe 10/10/2016 imetoa ushindi kwa Chama cha Wananchi (CUF) kwa kutoa kibali cha kisheria kwa chama kuwasilisha ndani ya siku 14, kesi ya kuiomba mahakama kutengua maamuzi batili ya Msajili wa vyama vya Siasa nchini, kwani maamuzi hayo batili yametengua maamuzi halali ya vikao halali vya chama. Mawakili wa CUF wakiongozwa na Mhe. Juma Nassor, Mhe. Daimu na Mhe. Hashim Mziray wamewaahidi wanachama wa CUF nchi...

Thursday, October 6, 2016

volcanic sign found at Kagera

SHARE TWEET SHARE YOUTUBE SHARE COMMENTS Leo October 6 2016 imeripotiwa habari ikitokea eneo la Katarabuga, kata ya Bwanjai wilaya ya Misenyi Kagera ambapo wananchi wa bonde la Katarabuga wamepatwa na taharuki baada ya kuibuka moto ardhini wakidhani volcano. Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Jiolojia Tanzania (GST) Prof. Abdulkarim Mruma  amesema moto huo ni wa kawaida tu hivyo wananchi wasiwe na taharuki yoyote. Prof. Mruma  akitoa ufafanuzi juu ya uvumi huo amesema...

TAARIFA RASMI YA KUPIGWA VIBAYA KWA MWANAFUNZI WA MBEYA DAY

TAARIFA RASMI YA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI KUHUSU TUKIO LA KUPIGWA MWANAFUNZI, MKOANI MBEYA. Mnamo Tarehe 28.9.2016, mwanafunzi aitwaye Sebastian Chinguku wa form 3A Mbeya day sec school anayeishi Uyole alipigwa na walimu watatu, Mwl Frank Msigwa, John Deo UDSM na Sanke Gwamaka wa Nyerere Memorial, wote wakiwa mafunzoni. Mwl Frank alitoa assignment ya Kingereza na baadhi ya wanafunzi hawakufanya akiwepo Sebastian hakufanya, darasani mwl alimpiga kofi kijana na kijana akahoji kwanini anampiga...

Monday, September 26, 2016

Rais Magufuli atua Bandarini, ataka maofisa wa ngazi za juu wenye vyeti feki wajisalimishe

Moja ya Scanner za TRA========= Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitembelea bandari ya Dar es salaam leo Septemba 27, 2016 akiwa ameongozana na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, Katibu Mkuu Uchukuzi i Dkt Leonard Chamriho na uongozi wa Bandari Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitoka kuangalia sehemu ya kupakulia mafuta kutoka kwenye meli katika bandari ya Dar es salaam leo Septemba 27,...

Tuesday, September 20, 2016

NDEGE MPYA HIYOOOOOO.....!!!!!!

NDEGE ILIYO AHIDIWA NA RAISI IMEWASILI TANZANIA Ndege ya kwanza mpya iliyonunuliwa na serikali yawasili jijini Dar-es-salaam Hii ni ndege mpya ya kwanza iliyonunuliwa na Serikali kwa ajili ya kutumiwa na Shirika la Ndege Tanzania -ATCL imewasili jijini DSM ikitokea nchini CANADA ilikotengenezwa. Ndege hiyo aina ya Bombadier Q400 NextGen imetua mchana katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa JULIUS NYERERE na kupatiwa heshima maalum ambayo hutolewa kwa ndege yoyote mpya inayotua katika nchi...

Monday, September 19, 2016

become entrepreneur today

Kijana yoyote ambaye unaisoma makala hii ambaye unataka kujiaajiri kwanza lazima uyazingatie mambo haya , kwanza uelewe ujasiriamali ni kitu cha namna gani na unawezaje kufanikiwa kupitia ujasiriamali.MJASILIMALI ni mtu Yule ambaye anakuwa na uwezo wa kuyasoma mazingira na kuweza kuyatumia na kuyafanyia biashara, na ni mwepesi sana kuliko hata wengine,Na pia ni mtu ambaye anauwezo wa kuthubutu, kubuni, kuanzisha na kuendesha biashara au mradi wa namna yoyote utakao mwingizia kipato chake Tunasaidiana...

Friday, September 16, 2016

How to write CV profiles

How to write CV profiles, personal statements, career aims and objectives. A Career Aim, Personal Statement or Profile can be a useful way of flagging an interest and skills for a particular career on your CV, particularly if you have no relevant degree or work experience to give your CV focus. When profile is used used on this page it can be assumed that personal statement could have been used in its place. A profile is only part of a CV so this section should be read in...

Canada welcomes first Syrian refugees DW News

Number of syrian refugees - On the Syrian Refugee Controversy‎ PICTURES ...

Page 1 of 2912345Next