Monday, September 26, 2016

Rais Magufuli atua Bandarini, ataka maofisa wa ngazi za juu wenye vyeti feki wajisalimishe

image.jpegimage.jpeg



[​IMG]
Moja ya Scanner za TRA

=========
p (1).jpg
p (2).jpg 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitembelea bandari ya Dar es salaam leo Septemba 27, 2016 akiwa ameongozana na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, Katibu Mkuu Uchukuzi i Dkt Leonard Chamriho na uongozi wa Bandari

p (3).jpg 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitoka kuangalia sehemu ya kupakulia mafuta kutoka kwenye meli katika bandari ya Dar es salaam leo Septemba 27, 2016 akiwa ameongozana na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa,Katibu Mkuu Uchukuzi i Dkt Leonard Chamriho na uongozi wa Bandari

p (4).jpg 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitoa maelekezo kuangalia sehemu ya kupimia kiwango cha mafuta yanayoingia nchini kutoka kwenye meli (Flow Meter) katika bandari ya Dar es salaam leo Septemba 27, 2016

p (5).jpg 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi Mary Mhayaya kuhusu chumba cha mitambo ya uthibiti wa kiwango cha mafuta yanayoingia nchini kutoka kwenye meli (Oil Flow Meter) katika bandari ya Dar es salaam leo Septemba 27, 2016

p (6).jpg 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipata maelezo ya chumba cha ukaguzi wa mizigo (scanner) inayoingia nchini katika bandari ya Dar es salaam leo Septemba 27, 2016

p (7).jpg 

Wafanyakazi wa bandari ya Dar es salaam wakimlaki kwa furaha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli alipofika kuongea nao baada ya kutembelea bandari ya Dar es salaam leo Septemba 27, 2016


p (8).jpgp (9).jpg 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea na wafanyakazi wa banRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea na wafanyakazi wa bandari baada ya kutembelea bandari ya Dar es salaam leo Septemba 27, 2016dari baada ya kutembelea bandari ya Dar es salaam leo Septemba 27, 2016

p10.jpg 

Mwenyekiti wa Wafanyakazi wa Bandarini Bw. akieleza baadhi ya changamoto wanazokabiliana nazo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli alipotembelea bandari ya Dar es salaam leo Septemba 27, 2016

tpa12.jpg 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipata maelezo kutoka kwa Kampuni ya Ushushaji Mizigo Bandarini ya Tanzania International Container Terminal (TICTS) Bw. Donald Talawa alipotembelea bandari ya Dar es salaam leo Septemba 27, 2016


PICHA NA IKULU
SIGNATURE

0 comments:

Post a Comment