waziri wa habari utamaduni sanaa na michezo Nape Nnauye amemteua bwana Hassan Habbasi kuwa mkulugenzi idala ya habari kuziba nafasi iliyokuwa inashikiliwa na assah Mwambene ambaye ameteuliwa kushika nafasi nyingine ya mambo ya ndani ushilikiano wa kikanda.Waziri Nnape amemwahidi kushilikiana naye na pia amemwambia mh.hassan kuwa anapaswa hufanya kazi kwa weledi mkubwa na pia ameahidi kushilikiana nae kwa ukalibu sana.haya ameyasema leo alipo kutana na wanahabari jijini Dar es salaam.zaidi endelea kufuatilia tanzania beauty
0 comments:
Post a Comment