Friday, August 5, 2016

RALEIGH TANZANIA INAWAKALIBISHA WOTE PALE CHUO CHA USTAWI WA JAMII KWA TUKIO LA KIHISTORIA


Raleigh Tanzania inawakaribisha alumni wake wote kwenye tukio litakalofanyika Dar es Salaam katika ukumbi wa Chuo cha Ustawi wa jamii, Bamaga siku ya tarehe 06, August 2016. Dhima ya tukio hilo ni kuzungumzia faida na umuhimu wa kujitolea katika shughuli za kijamii.
Mgeni rasmi ni Mh Antony Mavunde, Naibu Waziri-Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira, Vijana na watu wenye ulemavu.
Kwa Maelezo zaidi na mawasiliano, tafadhali wasiliana na namba zilizopo kwenye tangazo
.



TANZANIA BEAUTY tutakuwepo na tutawajuza kila kitu kitakacho fanyika muhimu ni kuwahi mapema pale chuo cha ustawi wa jamii kesho saa 2:00 By jerry kihundo

0 comments:

Post a Comment