YOUR WELCOME By ADMIN JERRY KIHUNDO

Let me take this golden chance to welcome everyone around the World,remember that your opinions are very important to us - tanzaniabeautiful.blogspot.com.

Monday, September 26, 2016

Rais Magufuli atua Bandarini, ataka maofisa wa ngazi za juu wenye vyeti feki wajisalimishe

Moja ya Scanner za TRA========= Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitembelea bandari ya Dar es salaam leo Septemba 27, 2016 akiwa ameongozana na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, Katibu Mkuu Uchukuzi i Dkt Leonard Chamriho na uongozi wa Bandari Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitoka kuangalia sehemu ya kupakulia mafuta kutoka kwenye meli katika bandari ya Dar es salaam leo Septemba 27,...

Tuesday, September 20, 2016

NDEGE MPYA HIYOOOOOO.....!!!!!!

NDEGE ILIYO AHIDIWA NA RAISI IMEWASILI TANZANIA Ndege ya kwanza mpya iliyonunuliwa na serikali yawasili jijini Dar-es-salaam Hii ni ndege mpya ya kwanza iliyonunuliwa na Serikali kwa ajili ya kutumiwa na Shirika la Ndege Tanzania -ATCL imewasili jijini DSM ikitokea nchini CANADA ilikotengenezwa. Ndege hiyo aina ya Bombadier Q400 NextGen imetua mchana katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa JULIUS NYERERE na kupatiwa heshima maalum ambayo hutolewa kwa ndege yoyote mpya inayotua katika nchi...

Monday, September 19, 2016

become entrepreneur today

Kijana yoyote ambaye unaisoma makala hii ambaye unataka kujiaajiri kwanza lazima uyazingatie mambo haya , kwanza uelewe ujasiriamali ni kitu cha namna gani na unawezaje kufanikiwa kupitia ujasiriamali.MJASILIMALI ni mtu Yule ambaye anakuwa na uwezo wa kuyasoma mazingira na kuweza kuyatumia na kuyafanyia biashara, na ni mwepesi sana kuliko hata wengine,Na pia ni mtu ambaye anauwezo wa kuthubutu, kubuni, kuanzisha na kuendesha biashara au mradi wa namna yoyote utakao mwingizia kipato chake Tunasaidiana...

Friday, September 16, 2016

How to write CV profiles

How to write CV profiles, personal statements, career aims and objectives. A Career Aim, Personal Statement or Profile can be a useful way of flagging an interest and skills for a particular career on your CV, particularly if you have no relevant degree or work experience to give your CV focus. When profile is used used on this page it can be assumed that personal statement could have been used in its place. A profile is only part of a CV so this section should be read in...

Canada welcomes first Syrian refugees DW News

Number of syrian refugees - On the Syrian Refugee Controversy‎ PICTURES ...

Page 1 of 2912345Next