Rais John Magufuli ametangaza nia ya kukamilisha safari ya kuhamishia makao makuu ya serikali mkoani Dodoma, safari iliyoanza miaka 42 iliyopita.
- Tangazo la Rais Magufuli limezua msisimko mpya na matumaini kwa wafanyabiashara. Majumba makubwa na ya kifahari yanaendelea kujengwa. Hii ni moja ya majengo mapya ambalo ujenzi wake umekamilika ambapo kutakuwa na ofisi mbalimbali. Ni jengo la mfuko wa jamii LAPF.
- Waziri mkuu Kassim Majaliwa alikuwa ametangaza nia ya kutaka kuhamia mji huo Septemba. Lakini ameombwa na mkuu wa mkoa kusubiri hadi bunge lihamie mji huo.
- Upanuzi wa uwanja wa ndege wa Dodoma ukiendelea
- Baadhi ya nyumba zinaendelea kuvunjwa kupisha upanuzi huo.
- Mji wa Dodoma ulitangazwa kuwa Makao Makuu ya Tanzania mwaka 1973.
- Sanamu la Mwalimu Nyerere lililopo mjini Dodoma limekuwa kuvutio kikubwa mjini humo hasa kwa vijana na wageni ambao mara nyingi huenda kupiga picha za ukumbusho.
- Zabibu, karanga na ubuyu ni miongoni mwa mazao yanayopatikana kwa wingi Mkoani Dodoma hivyo kutoa fursa za kibiashara kwa wakazi wa Mkoa huo.
Ongeza kichwa - Uchukuzi wa pikipiki pia unavuma.
- Hawa hapa ni baadhi ya wakazi waliojitokeza kutazama tukio la mwezi kupatwa na jua Septemba mosi.
0 comments:
Post a Comment