Mama huyo alimtupa mtoto huyo kijiji cha Iguguno, wilaya ya Mkalama alimtupa mjukuu wake Mayasa Meshaki, Dk Adamu Hussein amesema walimpokea mtoto akiwa katika hali mbay kutokana na kuvuja damu nyingi na siku ya pili alifariki dunia kutokana na jeraha la kupasuka kwa fuvu la kichwa.
Lawaridi amesema; “dirisha lilikuwa wazi yani nilimshusha tu nikamchukua Mayasa nikamtupa bila kutegemea… Watu wakanivamia sasa huku wanapiga kelele kuanza kunipiga… Wamenipiga sana tu, basi gari ikasimama wakawa wameenda kumtafuta mtoto… nikaambiwa mtoto amepatikana lakini mpaka dakika hii sijamuona...“
Kuisikiliza taarifa hiyo wakati ikiwa inarushwa na ITV bonyeza hapa.
0 comments:
Post a Comment