NAIROBI, KENYA: Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu(CHADEMA) leo Saa 2.30 asubuhi anaondoka jijini Nairobi kwenda Ubelgiji kwa matibabu zaidi
- Lissu anaendelea na matibabu kufuatia shambulizi lililofanyika dhidi yake huko Dodoma na kupigwa risasi 16 huku 8 zikimwingia mwilini na 7 zimeshatolewa na madaktari wa Dodoma na Nairobi
Tanzania Beauty 🚩🚩🚩
0 comments:
Post a Comment